NMB Continues CSR Drive in HAI
Mkuu wa wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(kushoto)akipokea sehemu ya msaada wa vifaa tiba na mashuka kutoka kwa Meneja wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Aikansia Muro kwaajili ya Zahanati ya Kyeeri Kata ya Machame Magharibi vyenye thamani ya Sh 10 milioni kulia ni Kaimu Afisa Mawasiliano wa NMB upande wa serikali,Yodas Mwanakatwe.