Thursday, December 7, 2023
HomeTop NewsMbunge ahahidi kuchangia laki moja kwa kila atakae oa

Mbunge ahahidi kuchangia laki moja kwa kila atakae oa

Mh Deo Sanga Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe ametoa motisha kwa vijana wa kiume na wa kike wanaohitaji kuoa / kuolewa kwamba ofisi yake itawezesha fedha kama njia ya kuwaunga mkono wanandoa hao.

“Kwa kila Kijana anayetaka kuoa ama kuolewa katika Jimbo langu nitamchangia kiasi cha Tsh. Laki moja na anayetaka kutoa mahari nitamchangia Tsh. Elfu 50 kupitia kampuni yangu ya Jah People, pelekeni kadi au uthibitisho wa matukio hayo kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa au Kijiji kwenye kituo changu cha mafuta mtakutana na Mtu anaitwa Neto atatoa mchango wangu”

RELATED ARTICLES

Most Popular